World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hiyo ndio laana ya kutowachezesha wachezaji wa Arsenal! Lazima utafungwa tu!

Mshikaji unatuharibia Fans wengine wa The Gunners, kwanza Gunners hawakuwa na wachezaji wazuri katika timu yao. Pili ambaye naona angepata namba ni Walcott ambaye aliumia, afu nina uhakika Ox hakuwa fit kucheza hata dakika moja. Huyu Wilshere(ingawaje ana potential ya kuwa star mbeleni)lakini ukimsoma vizuri anajizungushazungusha katikati wakimpa upaja huwa anaanguka chini na kuvunjika.
 
England inatakiwa wawe wananyimwa posho kama wachezaji wa Afrika ili wawe na sababu ya kufanya ovyo katika mashindano makubwa. Mambo gani haya wanapewa posho ya kumwaga(labda kuliko nchi zote) lakini matokeo ni yale yale kila mwaka.

Umefurahi sana leo, itabidi ukatembelee kwenye convenience store
 
Kuwa star lini? Wilshere alicheza vizuri mechi 2 akasifiwa sana but tangu wakati huo Hana tofauti na Cleverley.Halafu kwa nini pale Arsenal wachezaji wanaumiamia ovyo Diaby,Wilshere na Ramsey na OX wanafuata nyayo nao
 
Ebana wewe ni bonge la Arsenal hater kuliko DonDonald, Nzi na Mndengereko. Wilshere anaweza kuwa bonge la star wa England kama atabadili vitu vichache huwezi kumfananisha na Cleverly au lile guruwe(Welbeck) lililotaka kuondoka kama Moyes angeendelea kuwepo madarakani Old Trafford
 
Mkuu hata gerard wangemwita kwa heshima tu..lakini ma midfield wangewekwa vijana wanaoweza kwenda na pressure ya soka la sasa hivi.. Tuseme england wangepita wakutane na mtiti kama wa chile au colombia au crotia ..ingekuaje..
 
England inatakiwa wawe wananyimwa posho kama wachezaji wa Afrika ili wawe na sababu ya kufanya ovyo katika mashindano makubwa. Mambo gani haya wanapewa posho ya kumwaga(labda kuliko nchi zote) lakini matokeo ni yale yale kila mwaka.
walienda na histori ya 1966
 
Kuwa star lini? Wilshere alicheza vizuri mechi 2 akasifiwa sana but tangu wakati huo Hana tofauti na Cleverley.Halafu kwa nini pale Arsenal wachezaji wanaumiamia ovyo Diaby,Wilshere na Ramsey na OX wanafuata nyayo nao
Hivyo swali Zuri umeuliza Mie nilitaka kujuwa hili sababu hii Van Parsie alivyokuwa Arsenal alikuwa anaumia sana kwenda United hakuumia ila alivyokuja Moyes alikuwa anaumia na akienda Holland anaumia kuna kitu nimejiuliza Arsenal wanaumia wachezaji sana na Parsie alikuwa huko je ni mazoezi wanayopewa au daktari wawachezaji wa viungo sio au ni kitu gani? manager anavyowasukuma Mazoezini? Nauliza hivi sababu NBA nimeona Lakers wachezaji wanaumia wengi sana kuliko timu zengine kuna Timu wachezaji hawaumii ovyo ila umia ya Diaby basi tena na Wilshire asipotizama atamaliza ndani ya miaka mitatu Kama atakuwa hai.
 
Atabadilika mwaka gani,umeona Ramsey,Sterlling walivyobadilika. Scholes alimwambia dogo badala ya kuimprove yeye anarudi nyuma
Stuart Pierce alisema Wilshere hakustahili kwenda WC .Wilshere so far ni average player but wanamuoverate sana
 
Bado kidogo niseme Greece Ina mweusi player nimeona vibaya sie Waafrica tukiona mchezaji mweusi timu za Europe tunafurahi Kama Crotia Jana nimeona mchezaji mweusi ila timu zetu za Africa hazina wazungu WorldCup. Hata Japan na kumbuka walikuwa na mweusi Alex. Ila Wilshire talent hayo majeraha nilioyauliza why ndio yanamuharibia.
 
Japan na greece bado milango migumu, bora uishe hivi huenda Ivory Coast akavuka hatua hii.
 
Atabadilika mwaka gani,umeona Ramsey,Sterlling walivyobadilika. Scholes alimwambia dogo badala ya kuimprove yeye anarudi nyuma
Stuart Pierce alisema Wilshere hakustahili kwenda WC .Wilshere so far ni average player but wanamuoverate sana

Hata Ramsey msimu wa pili uliopita kabla ya ulioisha mlikuwa mnasema alifanya makosa kuwatosa nyinyi na kuja Arsenal. Angalia alivyofanya,msimu uliopita. Na bado ataendeleza moto msimu ujao. Wilshere atakuja kuwa kisu cha mchinjaji ndani ya misimu miwili, dalili zinaonekana.

RVP injuries nyingi alikuwa anazipata akiwa katika na Holland sio akiwa na Arsenal ila ilikuwa inamchukuwa muda mrefu kupona yeye pamoja na wachezaji wengine. Itakuwa ni combination ya medical staff au trainings, hivi sasa Arsenal wameajiri madokta wa kijerumani labda mambo yatabadilika. Case ya RVP ilikuwa ya kiajabu ajabu kama ilivyo ya Diaby. Wilshere nadhani ni kinachomsumbua ni kuwa hot head anataka kuonekana ni tough player uwanjani, anaweka mguu ovyo hata pasipostahili, mara ya mwisho ndo alivyoumia katika mechi ya England, kijingajinga sana. Akituliza akili na kuacha kufuata media na wapenzi na kufanya vitu simple naturally bila kufosi atakuja kuwa mmoja wa wachezaji wazuri wa England. kitu kingine ajue kuchukuwa lawama, na criticisms sio kulialia. Tatizo la wachezaji wa England wanaonekana wanafuata media sana kuliko kufanya vitu uwanjani. Nadhani Rooney amecheza World Cup below par sababu ya pressure za media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…