rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Hiyo ndio laana ya kutowachezesha wachezaji wa Arsenal! Lazima utafungwa tu!
Mshikaji unatuharibia Fans wengine wa The Gunners, kwanza Gunners hawakuwa na wachezaji wazuri katika timu yao. Pili ambaye naona angepata namba ni Walcott ambaye aliumia, afu nina uhakika Ox hakuwa fit kucheza hata dakika moja. Huyu Wilshere(ingawaje ana potential ya kuwa star mbeleni)lakini ukimsoma vizuri anajizungushazungusha katikati wakimpa upaja huwa anaanguka chini na kuvunjika.