Kanisikia kwa kweli,France wapo vizuri leoAmekusikia asee!!
Maskini Waswiz....kidogo wachapwe la 5 kama Spain...
Na wasipokuwa makini watachapwa...
Huyu Dogo Pogba atafika mbali,sema zile hasira zake tu
Cissoko 5
Masikini Uswiss wanataka kufanywa kama Spain hawa mmmh!! Afadhali sina timu hapa leo. Presha tupu
mpira uliharbika baada ya goli la pili tuUtamu wa mpira haupo tena....
Ila France wamepata nafasi ya kusafisha jina walilolichafua SA 2010!
Team Suisse mpo?