Ukweli ndo huo hawako serious kabisa kwa mfano Nigeria ambaye huku tunamtegemea na kumuona anatisha na anavyonyanyasa ameshindwa tena kizembe kuwapiga Iran wakati amewazidi kila kitu na mpira wao wa mdebwedo halafu tujipe moyo et atafika robo kweli? angalia nchi zingine zilivyo seriou kama netherland na zinginewaafrika ni washiriki tu
Argentina Leo anamfunga Iran 4-0 Kama sio 7! Leo Aguero na Messi watashindana magoli labda Kama Bi Maryam awe anao anao sana. Kama Iran akitowa Draw nipeni ban ya 6month.
Tushazoea kuona Club Kama yanga akifunga vi club vibovu Kama Comorro huko 7-0 basi tu nafikiri hao wachezaji wa Yanga na Simba ndio kwenye timu ya Taifa watafanya hayo mambo Kumbe wachezaji wanafikiria kombe Lao ni msosi ikulu na medal kwenda bungeni Mie nataka waende bungeni siku ya Fujo zao wapige bakora.Hatuna mbinu za kuwafunga watu kutoka mataifa ya wemzetu mpaka sasa
Mimi napenda Iran ashinde hii mechi