World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Higuain kama kawaida yake .. poor first touch
 
Ghana watashinda leo jamani All the best Ghana.

Hahahaaa, kama unataka kuweka kamali yako kwa ghana utasaga meno....african team hatupo serious na haya mashindano....

Nahisi pia mwaka huu rais wa nigeria anaweza fungua inchi yake isishiriki worldcup mpaka wajipange upya...
 
Sio kusaga meno atakufa kwa pressure
 
Yaani hivi vitimu havieleweki aiseee.jana pamoja na madambwidambwi ya kufa mtu ya pirlo wamekalishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…