World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hii mechi ndio inaonesha uhalisia wa world cup si zile zilizopita ina kila aina ya ubora!offensively to defensively
 

Wewe acha kujitoa fahamu umesahu kipindi kile ulipokuwa cheerleader wa timu yetu, nilipokuwa ninawanyanyua kwenye majukwaa.

Hii mechi ya leo kuna timu itashinda 3-1, kwasababu timu zote beki zao za kati sio nzuri sana {kwa leo}
 
alichokifanya diego costa mpaka kupelekea penalt kwenye mechi ya spain dhidi ya nertherland ni zaidi ya ma straika wengi,najiuliza ni lini tanzania tutakua na wachezaji wa aina hii ya diego costa?

mkuu mchepuko

ule ni upuuzi kabisa kabisa wakirudia angalia tena kama aliguswaa
naaminintatizo laa marefa ni ugonjwa wa zinaa
 
Kwa wale mliowahi kucheza mpira uwanjani jamani hebu jiwekeni katika nafasi ya Van Persie,mtihani wa kwanza ni kuvunja ile offside trick,wa pili ni timing ya ile cross,yaani kukimbia na kufika eneo sahihi mpira ulipoangukia,tena kwa speed kubwa kuwahi mpira na kumwahi golkeeper asikutangulie kuufikia,halafu Cassilas akiwa kajaa mbele yako,unagonga looping header ya aina ile!na haya yote yanakuwa processed haraka kichwani na kucoordinate response ya mwili.hivi mnalitafakari hili goli kama mie?kuna watu wanajua.credit to Van Persie aisee.hili goli ni hatari.
 
RVP hamna mchezaji duniani anayejua kufunga kama huyu jamaa!

Tutam miss sana Champion League!RVP hastahili kukosa mashindano hayoa makubwa
 

Van Persie ndo kafunika balaa,maana kipa kabaki anashaangaa kilichotokea.
 
Naona Patric Kruvet yupo benchi la ufundi pale.
safi sana Netherland.
 
Hivi anavyozomewa Costa na wabrazil duuh angekuwa ameisaliti Hispania 100% wangemtupia ndizi
 
Wewe acha kujitoa fahamu umesahu kipindi kile ulipokuwa cheerleader wa timu yetu, nilipokuwa ninawanyanyua kwenye majukwaa.

Hii mechi ya leo kuna timu itashinda 3-1, kwasababu timu zote beki zao za kati sio nzuri sana {kwa leo}
wacha kunishushia hadhi siuwaambie tu hapa kwamba Mie ndio nilikuwa mzamini wenu wa mpira mkiniuzi naondoka na mpira ule wakudunda mnabaki na malailoni yenu timu nzima Mie ndio mwenye njumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…