DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,533
- 2,709
hahahaaah,,,,,acha kujifagilia wewe.
Sio utani ngoja nitakuonyesha video clips za nilipokuwa ninacheka na nyavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaah,,,,,acha kujifagilia wewe.
Mbona mlikuwa kimya?
Mwache achelewe amkute Huyo Mama kapata Baba.
Nakupunga ulikuwa unajifunga sana haya magoli kwenye magoli ya mawe jiwe huku na huku hehehehe sio kufunga kujifunga.Hili goli alilofunga Van Persie linanikumbusha magoli yangu niliyokuwa ninafunga School Pazi
. kuna Player anaitwa DonDonald na Rubaman au Ntuzu Hiyo nafasi wao wangetaka kutuliza kifuwani wangetuliza kifuwani hawa niliwataja mpira ungefika mikononi mwa kipa taratibu bad touch hehehehe ila Mie hapo ningepiga mkasi mpira nyavuni( I Wish) na Dream hehehehe.
alichokifanya diego costa mpaka kupelekea penalt kwenye mechi ya spain dhidi ya nertherland ni zaidi ya ma straika wengi,najiuliza ni lini tanzania tutakua na wachezaji wa aina hii ya diego costa?
jamaa simpendi lakin kafunga bonge la goli
WAO, ili zipandikizwe kwa mademu zetu, sababu zetu zimeshindwa hata U champion wa Africa. VP umeona Goli zr la la V. Persie mkuu? Tuanze na huyu, then Ronadinho, Ronaldo Mazario Dillima, Messi, Zidane, Bechkam, Gabriel Batistuta, Pele, Maradona, C. Ronaldoh, na Golikipa anafaa Oliver Khan.
wacha kunishushia hadhi siuwaambie tu hapa kwamba Mie ndio nilikuwa mzamini wenu wa mpira mkiniuzi naondoka na mpira ule wakudunda mnabaki na malailoni yenu timu nzima Mie ndio mwenye njumu.Wewe acha kujitoa fahamu umesahu kipindi kile ulipokuwa cheerleader wa timu yetu, nilipokuwa ninawanyanyua kwenye majukwaa.
Hii mechi ya leo kuna timu itashinda 3-1, kwasababu timu zote beki zao za kati sio nzuri sana {kwa leo}
Mbona mlikuwa kimya?
upo timu gani kati ya hizo