Mkuu hujakosea kabisa,niko juu ya sofa iliyotengenezwa kwa magodoro sebuleni kwangu, nawatazama akina Sammy Kuffor,Shaun Bartlett,Jay Jay Okocha na wenzao wa Supersport wakiuchambua huu mchezo,wakionyesha highlights za mchezo,wakionyesha reaction za waghana huko kwao kila goli lilipofungwa,etc.nakumbuka picha za mwisho uwanjani zilimwonyesha Muller akiwa kalala chini anavuja damu,huku Andre Ayew akiwa amekaa chini analia,sasa hivi wanamwonyesha Gyan akihojiwa.mkuu soka ni sehemu kubwa ya maisha yangu.i've been watching these games live since world cup 1990,sasa jiulize kama miaka hiyo bongo kulikuwa na any live coverage ya WC!na nimeucheza mpira hadi nimechoka
Mourinho