Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Wazungu wanakosa weledi kwenye mambo muhimu
Gemu sikuangalia lakini Nigeria wana kipa mzuri kama Iran ambaye si rahisi kufungika
Nigeria hawana mashambulizi ya kustukiza sababu huwa hawapaki basi
Kumbuka Nigeria mpaka sasa hawajafungwa goli lolote na wanapointi 4
Iran akimfunga Bosnia atakuwa na pointi 4 hivi anatakiwa asiruhusu goli lolote kwenye wavu wake, Je inaweza kutokea? labda tusubiri maajabu ya Highighi kutokea...!
Argenintina kumfunga Nigeria kwa kichapo kibaya sidhani sababu Argentina si wazuri kwenye finishing kwa hizi mechi mbili zilizopita hope yao nzima ipo kwa genius messi
85% Nigeria anaingia 16 bora

Leo Portugal anakaa,tuingie mitaani tushangilie ushindi wetu
Iran atamfunga Bosnia hata bao 1 tu lkn kwa beki hii ya Nigeria Messi ataondoka na mpira wake
Portugal akikaa ni majanga kwa Ghana sasa...afadhali USA ndo wakae au watoke droo.
Hongera nigeria kwa ushindi..
Naona Nigeria na Ivory coast wana nafasi ya kupenya 16 bora
Mkuu hii USA ni team ya Taifa ya binti yangu na kaniomba mno nimuunge mkono mashindano haya
Naona Nigeria na Ivory coast wana nafasi ya kupenya 16 bora
Ndo maana nikasema angalau hao wananafasi kwa Iran hii sijui kama wanaweza kupita kwa bosnia,lakini kwa Ghana nafasi yao ni ndogo maana na wao wana mech na hao portugalGhana watakuwa wanategemea matokeo ya U.S.A na Portugal.
Pia Nigeria ili apite itabidi Iran afungwe na Bosnia au watoke draw
Tuombe Mungu Lkini Ghana wangecheza kama walivyocheza jana toka mwanzo ingekuwa raha sanaHata Ghana na Algeria mkuu...aliyetoka so far ni Cameroon tu.
Iran atafungwa na Bosnia...
Hata Ghana na Algeria mkuu...aliyetoka so far ni Cameroon tu.