World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wazungu wanakosa weledi kwenye mambo muhimu

Watajidai eti hawana soka la kuvutia kama the deadly looser tick taka soccer ya Spain

mfano Chile na Costa Rica walivyosumbua utakapo wakuta unaweza cheka

Wakichemka kwenye rank mpya bora Blatter ajiuzulu tu
 
Gemu sikuangalia lakini Nigeria wana kipa mzuri kama Iran ambaye si rahisi kufungika

Nigeria hawana mashambulizi ya kustukiza sababu huwa hawapaki basi

Kumbuka Nigeria mpaka sasa hawajafungwa goli lolote na wanapointi 4

Iran akimfunga Bosnia atakuwa na pointi 4 hivi anatakiwa asiruhusu goli lolote kwenye wavu wake, Je inaweza kutokea? labda tusubiri maajabu ya Highighi kutokea...!

Argenintina kumfunga Nigeria kwa kichapo kibaya sidhani sababu Argentina si wazuri kwenye finishing kwa hizi mechi mbili zilizopita hope yao nzima ipo kwa genius messi

85% Nigeria anaingia 16 bora

Iran atamfunga Bosnia hata bao 1 tu lkn kwa beki hii ya Nigeria Messi ataondoka na mpira wake
 
Gemu sikuangalia lakini Nigeria wana kipa mzuri kama Iran ambaye si rahisi kufungika

Nigeria hawana mashambulizi ya kustukiza sababu huwa hawapaki basi

Kumbuka Nigeria mpaka sasa hawajafungwa goli lolote na wanapointi 4

Iran akimfunga Bosnia atakuwa na pointi 4 hivi anatakiwa asiruhusu goli lolote kwenye wavu wake, Je inaweza kutokea? labda tusubiri maajabu ya Highighi kutokea...!

Argenintina kumfunga Nigeria kwa kichapo kibaya sidhani sababu Argentina si wazuri kwenye finishing kwa hizi mechi mbili zilizopita hope yao nzima ipo kwa genius messi

85% Nigeria anaingia 16 bora

Iran atafungwa na Bosnia...
 
Ghana's Asamoah Gyan joined Roger Milla as the top scoring African in #WorldCup history with 5 goals.

BqtzmJqIMAA7vMm.jpg
 
Naona Nigeria na Ivory coast wana nafasi ya kupenya 16 bora
 
Ghana watakuwa wanategemea matokeo ya U.S.A na Portugal.
Pia Nigeria ili apite itabidi Iran afungwe na Bosnia au watoke draw
 
Ndo maana nikasema angalau hao wananafasi kwa Iran hii sijui kama wanaweza kupita kwa bosnia,lakini kwa Ghana nafasi yao ni ndogo maana na wao wana mech na hao portugal
 
Timu za afrika hata zikipita na kuingia katika 16 bora hamna la maana zitalaloleta zaidi ni aibu tu.
 
Back
Top Bottom