sasa naona algeria wametulia,wanacheza soka safi kabisa.wamegain co ila korea kama wamechanganywa na haya magoli.la tatu,algeria 3
First Round,.
Algeria 3
Korea O
GOD Bless Algeria GOD Bless Africa.
Algeria wamepata pa kuonea
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa