World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

3-0....... hawa Algeria pamoja na kufungwa na belgium niliwakubali sana.....na leo wanaonyesha kiwango kizuri sana
 
Kazi ipo kwa Korea, Algeria hawana mchezo. The rest of Africa should learn from them...this is serious football; siyo watu wanakuwa wazito uwanjani ukichanganya na uzembe kama waliouonesha Nigeria!
 
First Round,.

Algeria 3

Korea O

GOD Bless Algeria GOD Bless Africa.
 
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa
 
Leo kuna karamu uwanjani ya pilau ya kuku, hapa naona hata goli sita zinaweza kupatikana kama Algeria watatulia.
 
Algeria wakiendelea na hii soka,kuna karamu ya magoli leo,na hawa ndugu zetu waafrika weupe wana sifa ya kutoridhika,Korea wakizubaa,tutacheka hapa.
 
Bqwim6ACQAErC-P.jpg


Nakubaliana na wewe..., hawa jamaa ni the BEST!!!!!!
 
Mbona Sijawahi kusikia mfaransa anaumia Ujerumani ama Spain ikifungwa kwa kigezo eti wametoka bara moja.
 
Tuna haki ya kusema hivyo but Korea hana mpira wa kutiisha angekutana na wa-Mexico saiz tungekuwa tunaongea vingine.acha tu watufariji.
 
Inabidi kuwe na sheria katika timu 5 timu za Afrika 2 lazima ziwa za Waarabu hawa jamaa at least wako serious sisi ngozi nyeusi hatuko serious kabisa

Nafasi ya Cameroon angeenda Misri. Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom