Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,073
- 1,862
Kila WC wao ni posho tu ndo wanatoa kipaumbele kuliko nchi
Kwa hesabu za mwaka huu? ama katika historia ya WC?ujue alijeria ndo timu ya africa iliofunga goli nyingi wc
Inaonekana kuna Algerians wengi hapo uwanjani. Sijui ingekuwa taifa stars watz wangapi wangeenda Brazil
Nishaishi north africa sana tu so nasema nikiwa najua a to z!
Kwa mara ya kwanza WC tunashuhudia goli la tobo hongera #teamSouthKorea
Kwa hesabu za mwaka huu? ama katika historia ya WC?
Ivory coast,Nigeria na Algeria kama zikishinda mechi zao za mwisho moja kwa moja wanaingia hatua inayofuata.Ghana wakishinda mechi ya mwisho bado itabidi waombee German amfunge USA.Na leo pia aombee Portugal ashinde ili Marekani abakie na points zilezile tatu.
Nishaishi north africa sana tu so nasema nikiwa najua a to z!
Hii itakuwa bomba sana kuwa na timu tatu toka Afrika kati ya tano, hata Ghana na Cameroun ni madudu yao tu lakini walistahili kuwemo kwenye 16 bora.
Kazi ipo kwa Korea, Algeria hawana mchezo. The rest of Africa should learn from them...this is serious football; siyo watu wanakuwa wazito uwanjani ukichanganya na uzembe kama waliouonesha Nigeria!
Yaani hata sijui ni laana ya nani but lazima wamelaaniwa...goli la tatu sijaliona live.
Algeria siyo bora kama ufikiriavyo, wamekutana na timu dhaifu sana.