World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Revenge is sweet loooooool
 
Utawala wa Barca kunyanyasa umeisha na wa Taifa hapa wa Spain kwa WorldCup hii naona unataka kuisha bora bado moja sasa.
 
Leo Spain wanapigwa wiki, kizazi cha Xavier kimeshazeeka kama ilivyochoka barca.
 
Pazi unakumbuka hii post

Wewe acha kujitoa fahamu umesahu kipindi kile ulipokuwa cheerleader wa timu yetu, nilipokuwa ninawanyanyua kwenye majukwaa.

Hii mechi ya leo kuna timu itashinda 3-1, kwasababu timu zote beki zao za kati sio nzuri sana {kwa leo}

Ungeenda bookies dah weekend yako ingekuwa nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Spaniard wametepeta! Ulimwengu wa soka umesimama leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…