Yaan nyie wanyama mmeshindwa kufa kikondoo kweli? Na mkirudi kwenu adhabu yenu mashamba tu!!!Haya Brazil hongereni!!
Cameroon wawakilishi wabovu kuliko wote. Mechi tatu, zero point, goli 10 za kufungwa
Cameroon wawakilishi wabovu kuliko wote. Mechi tatu, zero point, goli 10 za kufungwa
Mechi ya Mexico imeisha?
Haya jamani usiku mwema kila mtu kwa wale waliowekeza kama mimi afu tuliwa pole kwetu sote na hongera waliobahatika. Brazil hongera pia
It is official now, Brasil vs. Chile and Mexico vs. Holland in the 2nd round.
Wonderfull World Cup 2014. Mpaka sasa sijui zimefika jumla ya goli ngapi. Nadhani ni zaidi ya 100
Brazil au Holland mmoja atayaaga raundi ya 16