World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaan nyie wanyama mmeshindwa kufa kikondoo kweli? Na mkirudi kwenu adhabu yenu mashamba tu!!!Haya Brazil hongereni!!

Wafunguliwe kesi ya kupokea hela na kushindwa kufanya kazi ya malipo waliyoyapata.
Adhabu wapewe mashamba walime
 
Haya jamani usiku mwema kila mtu kwa wale waliowekeza kama mimi afu tuliwa pole kwetu sote na hongera waliobahatika. Brazil hongera pia
 
Wonderfull World Cup 2014. Mpaka sasa sijui zimefika jumla ya goli ngapi. Nadhani ni zaidi ya 100
 
Cameroon pamoja na kudai posho zao na kugoma kote katika mechi zote wamepeleka zawadi ya goli moja nchini mwao.
 
Back
Top Bottom