World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Gemu ya Jana ya ivory cost na Greece mwenye clip ya ile faulo aliyochezewa Samaras na yule bwana mdogo SIO aitupie hapa maana sina uhakika kama ile ni penalty kwa asilimia hata 70
 
Sijui kwa nn inaniuma sana kutolewa kwa Ivory Coast najitahidi kujisahaulisha lakin wap.
 
Waliokujibu hili bandiko lako wanatosha, sina chochote cha kuongezea. Uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuamua kuandika chochote hapa.

Lini Africa tutameza ukweli mchungu kwamba sisi bado kabisa.....?Matendo km ya wachezaji wetu wakubwa km song kupiga mtu kiwiko .....Assou Kuoto kupigana....yanasaidiaje kusonga mbele....Tukubali sisi bado kabisa!
 
Na aliye mng'ata mtu meno jana au hilo kwako ni sawa...tena asante Mungu hakufanya balotel mbona ingekuwa majanga...angeandikwa na kutukanwa kila mahali...lakini tendo limefanywa na mzungu lipo sawa....team zetu zinahujumiwa...

Nadhani kwa Taarifa Suarez amekuwa Charged na FIFA....anyway siwezi kumzungumzia huyu kwani ni mu-Africa na mwezangu akifanya hivi inaniuma zaidi.....God bless Africa but there other things we ought to take responsibility....
 
Waliokujibu hili bandiko lako wanatosha, sina chochote cha kuongezea. Uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuamua kuandika chochote hapa.

Walionijibu km wewe BAK you live in denial...!Siku mukikubali kumeza ukweli mchungu pengine ndo tutaanza kupiga hatua...
 
lol!!!! Baadhi ya Waafrika ndivyo walivyo!!! Siku zote watatukuza vitu vya wengine badala ya vitu vyao. Hao Greece mpira wao hauna tofauti yoyote ile na Ivory Coast kwa wao kustahili kuwemo kwenye 16 bora.

Walionijibu km wewe BAK you live in denial...!Siku mukikubali kumeza ukweli mchungu pengine ndo tutaanza kupiga hatua...
 
Sijui kwa nn inaniuma sana kutolewa kwa Ivory Coast najitahidi kujisahaulisha lakin wap.

Aiseeh hata mimi kimeniuma sana yaan bora hata saivi jana niliumia sana afu ata bora wangefungwa kikawaida yaan penalty kwa dk 91 afu ilitolewa kiajabu ajabu tuu.
 
Aiseeh hata mimi kimeniuma sana yaan bora hata saivi jana niliumia sana afu ata bora wangefungwa kikawaida yaan penalty kwa dk 91 afu ilitolewa kiajabu ajabu tuu.
Hii ni wazi kuwa wenzetu wanatumia mbinu nyingi kushinda na hilo inabidi tulijue, sasa angalia rais wao Alassane Ouattara eti dakika za mwisho anawahaidi wachezaji posho mara mbili endapo wakishinda. Ni kwa nini asitoe pesa hizo kwenye maandalizi? Na je unadhani hizo posho zinalingana na heshima ambayo wangeipata kwa kuendelea na mashindano!?
Na hapo bado kuna wachezaji wanaocheza nje ya nchi huku wakilipwa pesa nyingi kuzidi hizo posho.
Ndio maana kuna haja ya sisi kujitathmini upya na kukabiliana na uhalisia wa mambo badala ya kuanza kipigana wenyewe kama Cameron. Mfano Spain ni watetezi lakini badala ya kupigana wanatafakari kilichowasibu ili kujua kulikoni siku zijazo.

Leo tuna waaga Nigeria mapema kabisa lol
Kesho ndiyo siku ya huzuni zaidi kwa Dark Continent maana tunawaga wawili
 
Nadhani kwa Taarifa Suarez amekuwa Charged na FIFA....anyway siwezi kumzungumzia huyu kwani ni mu-Africa na mwezangu akifanya hivi inaniuma zaidi.....God bless Africa but there other things we ought to take responsibility....

From FIFA.com:
FIFA can confirm that disciplinary proceedings have been opened against the player Luis Suarez of Uruguay following an apparent breach of art. 48 and/or art. 57 of the FIFA Disciplinary Code during the 2014 FIFA World Cup Brazil™ match Italy-Uruguay played on 24 June 2014. The player and/or the Uruguayan FA are invited to provide with their position and any documentary evidence they deem relevant until 25 June 2014, 5pm, Brasilia time.
 
Game displine inatukosti waafrika sana.Ivory coast walishindwa kuwa smart dk za mwisho na ndomana wakaconceive penalt!

Kumlaumu mwamuzi ni jambo la pili lakini jambo la kwanza ni kwanini mchezaji anajua kabisa kuwa hili ni shambulio la Greece la mwisho na anacheza rafu mbaya tena mpira ukiwa hauelekei golini kwake?

Kuna vitu sisi waafrika tumevikosa ingawa hatutofautiani sana kiuwezo na nchi nyingi za ulaya kwenye soka.Subirini leo muone marking ya Nigeria defence dhidi ya Messi itakavyoicost Nigeria.
 
Aiseeh hata mimi kimeniuma sana yaan bora hata saivi jana niliumia sana afu ata bora wangefungwa kikawaida yaan penalty kwa dk 91 afu ilitolewa kiajabu ajabu tuu.
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.
 
Timu za afrika kwa kweli zimeniangusha sana world cup hii. Tusubiri tu mashindano yajayo.
 
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.
Huyu Suarez apewe tu kifungo hadi mashindano yaishe.
 
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.

Afu hiyo case ya ivory coast jana ikanikumbusha machungu ya ile mechi ya Ghana na Uruguay kwani huyo Suarez hajapewa red card alivo muuma huyo player wa Italy?
 
Mimi hakuna kitu kilichoniuma kama Ghana kunyimwa lille goli 2010 ambalo Suarez alilitoa kwa mkono likiwa limeshaingia.Halafu Suarez alivyoshangilia Gyan alivyokosa Penalt,Mungu yupo kazini huyu Suarez naombea afungiwe kwa ujinga aloufanya jana.

pole ila kama hii goal line technology inekuwepo wala refa asingehangaika mpira ungewekwa kati.
 
HUYU SUAREZ NA CHIELLLINI HAWAJANZA LEO VURUGU MECHI. MNAKUMBUKA PICHA HAPO CHINI KWENYE CONFEDERATION CUP 2013?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…