Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
wafaransa wanataka nigeria ashinde ili wamtoe argentina maana wanasema anafungika kirahisi kuliko nigeria
Nigeria leo wamecheza mpira wa hali ya juu, japo point ni kufuzu raundi ya pili.
usiniambie kenge nao wako uwanjani...lol!!!
usiniambie kenge nao wako uwanjani...lol!!!
J.J OKOCHA aliwaambia baaada ya ile mechi ya kwanza na iran kuwa mnachofanya sicho mnatakiwa kujituma na kushambulia aheni ubitozi
J.J OKOCHA aliwaambia baaada ya ile mechi ya kwanza na iran kuwa mnachofanya sicho mnatakiwa kujituma na kushambulia aheni ubitozi
hawa amerika ya kusini walijiandaaa kama bara zima kuwa lazima kombe libaki ama kwa mwenyeji au timu nyingine ya bara hiloNaanza kupatwa na hisia tutakuwa na an-all South American final kati ya Argentina na Brasil na Brasil kuibuka kidedea.
Somebody quote me on that!
IRAN karudisha moja huku.
iran 1 bosnia 2 dk 81
Bosnia HAWEZI msumbua Iran hata kidogo!Mkuu au huja iona Iran kwa mechi hizi 2?Wanatisha kila sehemu hawa watu na wapo very organized toka kipa wao hadi mbele mpira akiukuta Dejegha na Reza
hii kali bosinia kachomoa tena
iran 1 bosnia 3 dk 83