World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

wafaransa wanataka nigeria ashinde ili wamtoe argentina maana wanasema anafungika kirahisi kuliko nigeria

Mhh France HAWEZI mfunga Argentina mechi ichezwe uwanja wowote America ya kusini!
 
Nigeria leo wamecheza mpira wa hali ya juu, japo point ni kufuzu raundi ya pili.

J.J OKOCHA aliwaambia baaada ya ile mechi ya kwanza na iran kuwa wanachofanya sicho wanatakiwa kujituma na kushambulia waache ubitozi
 
J.J OKOCHA aliwaambia baaada ya ile mechi ya kwanza na iran kuwa mnachofanya sicho mnatakiwa kujituma na kushambulia aheni ubitozi

nafikiri na social media zimesaidia kuwaweka sawa.....wametukanwa sana mitandaoni hawa wawakilishi wa africa!!
 
Naanza kupatwa na hisia tutakuwa na an-all South American final kati ya Argentina na Brasil na Brasil kuibuka kidedea.

Somebody quote me on that!
 
J.J OKOCHA aliwaambia baaada ya ile mechi ya kwanza na iran kuwa mnachofanya sicho mnatakiwa kujituma na kushambulia aheni ubitozi

Kweli mkuu leo kuna kitu wanatuonyesha kuhusu uwezo wao.!!
 
Naanza kupatwa na hisia tutakuwa na an-all South American final kati ya Argentina na Brasil na Brasil kuibuka kidedea.

Somebody quote me on that!
hawa amerika ya kusini walijiandaaa kama bara zima kuwa lazima kombe libaki ama kwa mwenyeji au timu nyingine ya bara hilo
 
Mechi ya kwanza na Iran walikuwa wanakimbiakimbia tu kama wehu hawa wanaijeria.
 
Back
Top Bottom