World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mpira ni wa nguvu sana huu, tuombe timu yetu ishinde.

Kama umesimama bora ukae maana utaweza dondoka.
Mimi nashabikia Algelia sababu ina nafasi ya kuendelea mbele. Ghana sio kuwa hawawezi wanaweza tatizo ni USA kule
 
Mpira hauna hata pressure lkn kajifunga!Kulikuwa na haja gani kuharakisha kuupiga ule mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…