mtangazaji anasema the boy was so determined kupangua mpira matokeo yake anaishia kujifunga
Mechi nyingine ya USA na Ujerumani ni usanii mtupu!!!! Wanakimbiakimbia tu uwanjani. Timu moja inaenda na mpira inapokaribia goli la mwenzake wanaurudisha nyuma na kuanza tena na kuishia kuupoteza na timu nyingine nayo inafanya hivyo hivyo. Kuna mashuti ya kisanii yamepigwa sijui mawili matatu. Hii mechi itaisha kwa 0-0.
a pure dark continent indeed
Jamani hebu nipeni updates za mkoloni wetu wa zamani na wa sasa mambo yakoje kule?
Jamani hebu nipeni updates za mkoloni wetu wa zamani na wa sasa mambo yakoje kule?
Tushalizwa na opposite goal
Ureno = Ghana
Ishachezwa hiyo