the man he don't know even how to defend against attack
"very sad indeed"
mtangazaji anasema this is so unfair kwa Ghana baada ya kudondoshwa yule mchezaji
woote hamna wanachofanya humu ndani...Sijakuelewa....
bado nawaza kitendo cha suarez kung'ata mtu
Samahani kwa mnaofuatilia mpira nilitaka kuwaambia the bold amerudi tena jamvini na amepost thread ya hatari.angalieni kwenye new post
haha eti huyu beki alitaka kuwafungia Portugal goal la pili
Half time, sisi bila wao 1
asante iko jukwaa gani
Samahani kwa mnaofuatilia mpira nilitaka kuwaambia the bold amerudi tena jamvini na amepost thread ya hatari.angalieni kwenye new post
woote hamna wanachofanya humu ndani...
sisi bila wao moja nimeipenda hiyo