World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi inamana Essien kaishiwa kiasi cha kutostahili hata kucheza dakika chache!?au mgonjwa?
 
Ile posho yao iliwahi? isije ikawa ni mgomo baridi...

mzigo umeletwa cash ndani ya private jet...kufika brazil ukasafirishwa na convoy hadi kambini...vijana wakakabidhiwa na wale vinara wa kudai wakatimuliwa! africa bana...tunaiweza wenyewe
 
Dada nakushauri nenda kulala!Hizi team za Afrika hizi zitakukosesha raha kila siku!Ghana walicheza vyema sana mechi 2 za kwanza ona leo wanavyo boronga

sa hivi hakuna kinachoendelea hapa hakuna hata dalili za kurudisha hapa
 
Dada nakushauri nenda kulala!Hizi team za Afrika hizi zitakukosesha raha kila siku!Ghana walicheza vyema sana mechi 2 za kwanza ona leo wanavyo boronga

mkuu utakua umenifananisha na mtu asiye mimi hapa.
 
Sasa USA wamechangamka ile mbaya dah!!!! Mwanzo walikuwa kama wamesinzia uwanjani.
 

Algeria watapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…