World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Uholanzi na Brasil wankutana nusu fainal,fainal ni France na Uholanzi.

Mm naamin scolar hawez kukubal kufungwa mara mbili...uholanz atamsumbua Brazil lakin hata mfunga...na timu za ulaya mbili haziwez kuingia mbili kwenye ardhi ya Brazil
 

Daah kwa hiyo ikitokea nigeria na algeria wakafuzu robo fainali watavaana wao kwa wao..?
 

Daah hapa kazi wanayo
 
Mm naamin scolar hawez kukubal kufungwa mara mbili...uholanz atamsumbua Brazil lakin hata mfunga...na timu za ulaya mbili haziwez kuingia mbili kwenye ardhi ya Brazil

Leo Brazil anashinda iwe kwa Penalt, Rushwa hata Redcard.
Akitolewa naomba BAN miezi 2
Ikitokea Chile akafunga goli 3 atoke asitoke basi naomba BAN ya miezi 6
Sitaomba msamaha Invisible
 
Last edited by a moderator:

halafu sidhani kama viongozi wanachukulia haya mashindano serious muntari na boateng hawana njaa thus why wakagoma sasa pesa anakula mtu ambaye yupo accra anaangalia mpira hotelini tu na changu wisky pembeni wengine wavuje jasho nawapongeza muntari na boateng.
 
Rais wa Nigeria kawaomba wachezaji leo wafanye mazoezi na kwama eti watalipwa!!
 
Bado masaa 5 tu ndugu yangu andate tumkose Jamii forums kwa mwaka mzima!!Alexis Sanchez hawawezi wakosa leo
 
Last edited by a moderator:
Kabisa,maana kisaikologia wameshakuwa affected,watachezaje sasa?France atapia kiulaini kabisa,ila kiboko yake kitakuwa Germany robo fainal

Germany HAFIKI huko kwenye robo fainali!Slimani wa Algeria anawaondoa siku hiyo
 
Yaani ikitokea mjerumani kumtoa Algeria nipigwe ban 1month.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…