everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Nimeota eti Nigeria kamtoa Ufaransa...it was like 1-0 au 2-1 hivi ndoto haikuwa clear sana- ila Keshi alishangilia huyo balaa.
Tuombee ndoto yako iwe kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeota eti Nigeria kamtoa Ufaransa...it was like 1-0 au 2-1 hivi ndoto haikuwa clear sana- ila Keshi alishangilia huyo balaa.
Uholanzi na Brasil wankutana nusu fainal,fainal ni France na Uholanzi.
Nahisi kama safari ya Brazil katika mashindano haya inafikia tamati kesho.
Ratiba Kamili Ya 16 Bora:
Juni 28.
Brazil V Chile
(saa 1 usiku)
Colombia V Uruguay
(saa 5 usiku)
Juni 29.
Uholanzi V Mexico
(saa 1 usiku)
Costa Rica V Ugiriki
(saa 5 usiku)
Juni 30.
Ufaransa V Nigeria
(saa 1 usiku)
Ujerumani V Algeria
(saa 5 usiku)
Julai 1.
Argentina V Uswis
(saa 1 usiku)
Ubelgiji V Marekani
(saa 5 usiku)
Daah kwa hiyo ikitokea nigeria na algeria wakafuzu robo fainali watavaana wao kwa wao..?
ndo maana yake
Gwa kokaja!!
Nigeria hawajafanya mazoezi kwa siku 2 ya leo maana hawajalipwa hata senti toka wawe kambini then waje Brazil!Chama chao cha sokam wanasema zile dola Milion 8 za FIFA zilifika lkn wamejengea ofisi mpya!
Uongozi wa soka Afrika wote wapo sawa akili zao!Sasa utamtoaje France na management kama hii?
Mm naamin scolar hawez kukubal kufungwa mara mbili...uholanz atamsumbua Brazil lakin hata mfunga...na timu za ulaya mbili haziwez kuingia mbili kwenye ardhi ya Brazil
Leo Brazil anashinda iwe kwa Penalt, Rushwa hata Redcard.
Akitolewa naomba BAN miezi 2
Ikitokea Chile akafunga goli 3 atoke asitoke basi naomba BAN ya miezi 6
Sitaomba msamaha Invisible
Dada sisi Africans sidhani kama tupo sawa kwenye akili zetu,sisi tuna laana!Ghana hadi wanagoma ndipo zinaletwa kwa ndege ya kukodi dola Milion 3 napo akina Muntari wakagoma kwa kuuliza kwa nn FIFA wametoa dola 8 Milion lkn viongozi ambao ni wachache wanakula dola 5 Milion na wanaocheza ambao ni 2 unawapa dola Milion tatu tu wagawane
Kabisa,maana kisaikologia wameshakuwa affected,watachezaje sasa?France atapia kiulaini kabisa,ila kiboko yake kitakuwa Germany robo fainalNigeria HAWEZI mzuia France na mzozo wao wa posho
Kabisa,maana kisaikologia wameshakuwa affected,watachezaje sasa?France atapia kiulaini kabisa,ila kiboko yake kitakuwa Germany robo fainal
Leo mwenyeji BRAZILI anaapishwa rasmi na CHILE kuwa mtazamaji wa kombe la dunia nyumbani kwao
Hakuna kitu kama hicho,Germany anasonga!sijaona mpira Algeria wa kuwafunga Germany,hii Algeria iliyofungwa na BelgiqueGermany HAFIKI huko kwenye robo fainali!Slimani wa Algeria anawaondoa siku hiyo