World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Uholanzi na Brasil wankutana nusu fainal,fainal ni France na Uholanzi.

Mm naamin scolar hawez kukubal kufungwa mara mbili...uholanz atamsumbua Brazil lakin hata mfunga...na timu za ulaya mbili haziwez kuingia mbili kwenye ardhi ya Brazil
 
Ratiba Kamili Ya 16 Bora:

Juni 28.
Brazil V Chile
(saa 1 usiku)
Colombia V Uruguay
(saa 5 usiku)

Juni 29.
Uholanzi V Mexico
(saa 1 usiku)
Costa Rica V Ugiriki
(saa 5 usiku)

Juni 30.
Ufaransa V Nigeria
(saa 1 usiku)
Ujerumani V Algeria
(saa 5 usiku)

Julai 1.
Argentina V Uswis
(saa 1 usiku)
Ubelgiji V Marekani
(saa 5 usiku)

Daah kwa hiyo ikitokea nigeria na algeria wakafuzu robo fainali watavaana wao kwa wao..?
 
Gwa kokaja!!
Nigeria hawajafanya mazoezi kwa siku 2 ya leo maana hawajalipwa hata senti toka wawe kambini then waje Brazil!Chama chao cha sokam wanasema zile dola Milion 8 za FIFA zilifika lkn wamejengea ofisi mpya!

Uongozi wa soka Afrika wote wapo sawa akili zao!Sasa utamtoaje France na management kama hii?

Daah hapa kazi wanayo
 
Mm naamin scolar hawez kukubal kufungwa mara mbili...uholanz atamsumbua Brazil lakin hata mfunga...na timu za ulaya mbili haziwez kuingia mbili kwenye ardhi ya Brazil

Leo Brazil anashinda iwe kwa Penalt, Rushwa hata Redcard.
Akitolewa naomba BAN miezi 2
Ikitokea Chile akafunga goli 3 atoke asitoke basi naomba BAN ya miezi 6
Sitaomba msamaha Invisible
 
Last edited by a moderator:
Dada sisi Africans sidhani kama tupo sawa kwenye akili zetu,sisi tuna laana!Ghana hadi wanagoma ndipo zinaletwa kwa ndege ya kukodi dola Milion 3 napo akina Muntari wakagoma kwa kuuliza kwa nn FIFA wametoa dola 8 Milion lkn viongozi ambao ni wachache wanakula dola 5 Milion na wanaocheza ambao ni 2 unawapa dola Milion tatu tu wagawane

halafu sidhani kama viongozi wanachukulia haya mashindano serious muntari na boateng hawana njaa thus why wakagoma sasa pesa anakula mtu ambaye yupo accra anaangalia mpira hotelini tu na changu wisky pembeni wengine wavuje jasho nawapongeza muntari na boateng.
 
Rais wa Nigeria kawaomba wachezaji leo wafanye mazoezi na kwama eti watalipwa!!
 
Bado masaa 5 tu ndugu yangu andate tumkose Jamii forums kwa mwaka mzima!!Alexis Sanchez hawawezi wakosa leo
 
Last edited by a moderator:
Kabisa,maana kisaikologia wameshakuwa affected,watachezaje sasa?France atapia kiulaini kabisa,ila kiboko yake kitakuwa Germany robo fainal

Germany HAFIKI huko kwenye robo fainali!Slimani wa Algeria anawaondoa siku hiyo
 
Yaani ikitokea mjerumani kumtoa Algeria nipigwe ban 1month.
 
Back
Top Bottom