World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Yaaani leo mimi naamini Brazil anashinda hata iweje lazima atashinda iwe kwa watu kufa, uwanja kubomoka lazima ashinde leo.
 

Viongozi wa kiafrika wapuuzi sana...kwani hela hizo FIFA waliwapa kwa ajili ya kujengea ofisi au kulipia posho za wachezaji?
 

Nakuunga mkono...kama Algeria wakikaza kiarabu na speed plus JIHAD ya ukweli, basi Germany anatolewa!
 
Leo niliota kuwa brazil wamepata goli ndani ya dakika 15 za kupitia kwa marcelo ila sikumalizia ndoto yangu na sijui nani alipita kati ya brazuka na chile.
 

$8Mil zote zimetumika kujengea ofisi sio hawa watu hata akili ya kudanganya hawana,ofisi gani ina cost pesa zote hizo? Mnaowacheka na kuwashangaa wapopo kwa kugoma subirini Taifa Stars iingize mguu muone kina Jamal Malinzi na company (wa miaka ijayo)watakavyochakaua posho za wachezaji wetu ndo mtaelewa kinachoendelea
 
Mechi ya brazil na chile itakwenda extra time baada 1-1 ft. Itaamuliwa kwa kupigwa penati chile 4 brazil 3
 
Viongozi wa kiafrika wapuuzi sana...kwani hela hizo FIFA waliwapa kwa ajili ya kujengea ofisi au kulipia posho za wachezaji?

Sindo hapo jamani!!! Hivi kwani fifa haitoagi muongozo wa mgawanyo wa hizo fedha? Yaan waafrica njaa zitatuua. Mimi nawasupport sana wachezaji wa nigeria wagome mpaka kieleweke hamna cha uzalendo wala nini haiwezekani mtu ujipinde uwanjani afu limtu lingine lifaidike kiulaini tuu.
 

Miafrika ndivyo tulivyo!
Sosi Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…