Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
[MENTION]Invisible [/MENTION]umemuona huyu?Tutakumiss sana hapa jukwaa la michezo as robofainal itakuwa haijachezwaYaani ikitokea mjerumani kumtoa Algeria nipigwe ban 1month.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[MENTION]Invisible [/MENTION]umemuona huyu?Tutakumiss sana hapa jukwaa la michezo as robofainal itakuwa haijachezwaYaani ikitokea mjerumani kumtoa Algeria nipigwe ban 1month.
Jamani msije mkakana kauli zenu hizi.Yaani ikitokea mjerumani kumtoa Algeria nipigwe ban 1month.
Yaani hadi mashindano haya yaishe tutapoteza ndugu zetu wengi tu humu.Invisible umemuona huyu?Tutakumiss sana hapa jukwaa la michezo as robofainal itakuwa haijachezwa
Gwa kokaja!!
Nigeria hawajafanya mazoezi kwa siku 2 ya leo maana hawajalipwa hata senti toka wawe kambini then waje Brazil!Chama chao cha sokam wanasema zile dola Milion 8 za FIFA zilifika lkn wamejengea ofisi mpya!
Uongozi wa soka Afrika wote wapo sawa akili zao!Sasa utamtoaje France na management kama hii?
Germany ni over rated tu mkuu!Algeria ina wachezaji wazuri individual kuliko mara 100 ya Ghana!Akina Foghouli wale wawili mmoja yupo Valancia mwingine Napoli na huko wanaxheza!Hasan Yabda na Bantaleb hamna asiyemjua Ulaya huku Haliche na wenzake wapo huko France!
Algeria ipo nondo sana,yanaweza jirudia kama ya mwaka 1974!
Leo niliota kuwa brazil wamepata goli ndani ya dakika 15 za kupitia kwa marcelo ila sikumalizia ndoto yangu na sijui nani alipita kati ya brazuka na chile.
Gwa kokaja!!
Nigeria hawajafanya mazoezi kwa siku 2 ya leo maana hawajalipwa hata senti toka wawe kambini then waje Brazil!Chama chao cha sokam wanasema zile dola Milion 8 za FIFA zilifika lkn wamejengea ofisi mpya!
Uongozi wa soka Afrika wote wapo sawa akili zao!Sasa utamtoaje France na management kama hii?
game ya kwanza saa ngapi za kibongo?
Game ya kwanza saa ngapi za kibongo?
Viongozi wa kiafrika wapuuzi sana...kwani hela hizo FIFA waliwapa kwa ajili ya kujengea ofisi au kulipia posho za wachezaji?
Mechi ya brazil na chile itakwenda extra time baada 1-1 ft. Itaamuliwa kwa kupigwa penati chile 4 brazil 3
Sindo hapo jamani!!! Hivi kwani fifa haitoagi muongozo wa mgawanyo wa hizo fedha? Yaan waafrica njaa zitatuua. Mimi nawasupport sana wachezaji wa nigeria wagome mpaka kieleweke hamna cha uzalendo wala nini haiwezekani mtu ujipinde uwanjani afu limtu lingine lifaidike kiulaini tuu.