World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kwa kiwango cha leo alichokionesha rooben uzee mwisho kwa madiba brazil kila mchezaji kama neymar vile

Mkuu jamaa ni muonekano wake tu lakini sio mzee kazaliwa 1984, hivyo ana umri karibia na wa iniesta na torres, ni mdogo kwa sneidjer, xavi, xabi, van persie, casillas, amezidiwa miaka 5 na owen
 
Sijaona game la Cameroon vs Mexico lilikuwaje wakuu?
 
spain wakifungwa lazima d silva awe scapegoat leo walizidiwa, they are one trick pony with their tiki taka boredom
 
kutokana na idadi ya magoli waliyofungwa spain,. chile wakishinda leo spain out...
spain watatoka kwa kuwa na magoli mengi ya kufungwa.
 
Sijaona game la Cameroon vs Mexico lilikuwaje wakuu?
mbaya,Hawa Netherland wangecheza na Cameroon au Mexico wangepigwa hata magoli kumi,mexico na Cameroon hamna kitu kabisa
 
nina mashaka Brazil kuvuka robo fainali,hatujaona bado game la Porugal,Germany na Switzland,mbona itakuwa balaa
raundi ya pili brasil wanaweza kukutana na espana, hapo inabidi wabebwe kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…