World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Umeshaanza lakini hauna manjonjo kama ule wa kwanza, ila Colombia wanastahili kushinda mechi hii kwa kuangalia performance ya timu zote mbili katika mechi zao za nyuma.

poa mkuu, asante kwa updates pia
 
Reactions: BAK
kumbe km mimi wakitolewa brazil ndo bas.....!

Tatizo toka utotoni mlipata sifa za Brazil na mkaipenda sasa hamtaki kubadilika Inakuwa kama Dini vile japo hata dini watu wanabadili. Soka ni zaidi ya Burudani na haipatikani Brazil tu.
 
Laiti binadamu angekuwa hachoki,ningetamani Colombia wacheze mpira usiku kucha nawatazama tuu!
 
Ya na commentator anasema hiyo record anayo Ronaldo de Lima na Rivaldo tu. Dogo nae kaingia.
Brilliant goal. Just Brilliant

Kabla ya hapo alisema "he had the ability and the audacity to do it". Just brilliant!

Jamani ma commentator wetu hawajifunzi kwa hawa wenzetu? Ongea maneno matamu ya kumvutia mtazamaji.
 
Kabla ya hapo alisema "he had the ability and the audacity to do it". Just brilliant!

Jamani ma commentator wetu hawajifunzi kwa hawa wenzetu? Ongea maneno matamu ya kumvutia mtazamaji.

yaaani stesheni tofauti wameongea kito kinachofanana. hakuna aliyetarajia dogo angepiga ule mpira golini
 
Kabisa mkuu,Rodrugez alipoweka gambani alikuwa na maamuzi ya haraka na yenye uhakika,dogo mzuri.

Mkuu ile gambani na kugeuka nao afu kuachia bunduki kama ile ni muujiza...don't take it easy! Ile ni superb turn.
 
Hii gemu haiishi bila red card kwa timu ya Uruguay

Tatizo lao ni la kurithi!fuatilia historia yao hawa jamaa kwa kiatu hawajambo.ila wanapiga deadly counter attacks,Colombia wawe makini.ila Uruguay wanammis "bugs bunny" kwa kweli!aina ya mfumo wanaocheza walimhitaji zaidi kutokana na kasi yake na wepesi,angeweza kucheza peke yake mbele,na kumpa nafuu Cavani maana leo pale katikati wacolombia wanakinukisha vibaya.
 
Angekuwepo Falcao hawa Brazil Ijumaa mhhh!Wana bahati sana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…