nimeliona hilo mkuu ile kichwa ni balaa
nina hofu chile wasiweza kudraw kwa uholanzi,naona watapigwa tu
Kulegea miguu na kutambaa tambaa kwa kipa
chile anashinda,halafu spain anamfunga Australi,kisha Spain anadraw kwa Chile,hapo chile akifungwa na uholanzi au wakadraw kazi ya Spain kwenda robo itakuwa imeota mbawaChile lazima washinde.
Sijaona game la Cameroon vs Mexico lilikuwaje wakuu?
cassilas ni tatizo sema wana muona mfalme, digea ange chukua namba.Kulegea miguu na kutambaa tambaa kwa kipa
je Spain wakimfunga Asutralia magoli kama 5?hata chile wakipigwa .hatawatafungwa zaidi ya goli 2.
mkwe we si team brazil lakiniLeo spain margea lol wengi mliipania mechi ya leo.....
chile anashinda,halafu spain anamfunga Australi,kisha Spain anadraw kwa Chile,hapo chile akifungwa na uholanzi au wakadraw kazi ya Spain kwenda robo itakuwa imeota mbawa
Leo spain margea lol wengi mliipania mechi ya leo.....