World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

France bingwa 1998 na bingwa Ulaya 2000 then WC ya 2002 wakaishia makundi tu nje...Spain bingwa 2010 na bingwa Ulaya 2012, sasa jiongezeni mtapata jibu!

Afu huwa kuna kitu kinaitwa saturation point... ukiifikia hiyo hata ufanyeje no progress.
 
Bingwa Dunia kapigwa mkono?? Unfair

Mwaka 2002 France alikuwa Bingwa mtetezi akaishia hatua ya makundi.

2006 Brazil alikuwa bingwa mtetezi aliishia Robo fainali

2010 Italy alikuwa bingwa mtetezi akaishia hatua ya makundi

2014 Spain Mtetezi kaanza kwa 5-1. Je ataishia wapi?
 
Leo ilikuwa zamu ya Spain zile kelele za La liga ni bonge la ligi zimekwisha. Kesho zamu ya wale wachonga vinywa wa kisiwani wanaodai ligi yao ni bora na eti ndo walioanzisha soka.
 
mkwe we si team brazil lakini

Kabisaaa......jana hapa waliiponda brazil kusema kweli mpira wa jana bab kubwa wakasema mbabe wao spain mjerumani na mtaliano sasa leo spain manyago matupu lol kiko wapu? Nasubir walobakia leo shoga angu shakira atakosa mabusu lol gerad kanunaa huyoooo
 
Baada ya kumtoa Alonso angemuingiza Javi Martinez huyu angewasaidia centre back,Torres amekwisha na Diego Costa hafit kwenye system ya Spain David Villa alipaswa kuanza

Mkuu kama umeangalia mechi vizuri,spain walizidiwa kiungo..walichokifanya uholanzi ni kumfanya robben kma second striker alikua anatoka katika mwa dimba anakimbili ndani kwenye boksi..ramos na pique waliconcentrate sana kumkaba vanpersie..midfildr ya spain imewaangusha akukua na covering ya haraka hakukua na mtu wa kuwasaidia akina ramos..casillas was a disgras ilikua kma ndo mechi yake ya kwanza alikua kma anashangaa mashabiki..lawama zangu zote ni kwa mwalimu kwakumtoa alonso lawama zangu pia ziwaendee iniesta ,xavi na silver awakua wakiwasaidia mabeki dead balls na cross zote makaburu walikua wanapiga free headers hakuns mtu alie kua anamprotect casilas asibugudhiwa..nadhani spain nao yale mambo ya ufather na ujuaji walionao ivorycoast na cameroon wameanza kua nao pia.pole sana kwa mashabiki wote wa spain huo ndo utamu wa soccer tunapata suprises kila siku..
 
At least Spain have realized this is a world cup and not European championships!! Thanks Netherlands
 
Sijawahi kutiwa aibu kiasi hiki...ngoja niuite mchepuko wangu unipoze
Mrembo by Nature kama utakumbuka fainali iliyopita walicheza hawa hawa na Spain alishinda kimagumashi tuu na Uholanzi wanapiga mpira kila michuano hii sema hawana bahati.
Lakini hii ya leo ni aibu.
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa iwe 8-1 yaani wana bahati wameliwa 5-1
 

mkuu umesema vema, imekuaje iniesta kupotea kabisa half ya pili?
 
Mkuu lakini kumtoa Aronso lilikuwa kosa na pale pakawa njia kuu.
 
France bingwa 1998 na bingwa Ulaya 2000 then WC ya 2002 wakaishia makundi tu nje...Spain bingwa 2010 na bingwa Ulaya 2012, sasa jiongezeni mtapata jibu!

Afu huwa kuna kitu kinaitwa saturation point... ukiifikia hiyo hata ufanyeje no progress.

Rahisi kama sequence and series kipengere cha arithmetic progression na jibu lake ni "adios amigo Spaniola"
 
Tena mechi ijayo anacheza na Chile!
Asipoangalia anaweza akafungwa na Chile pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…