Mkuu kama umeangalia mechi
vizuri,spain walizidiwa kiungo..walichokifanya uholanzi ni kumfanya
robben kma second striker alikua anatoka katika mwa dimba anakimbili
ndani kwenye boksi..ramos na pique waliconcentrate sana kumkaba
vanpersie..midfildr ya spain imewaangusha akukua na covering ya haraka
hakukua na mtu wa kuwasaidia akina ramos..casillas was a disgras ilikua
kma ndo mechi yake ya kwanza alikua kma anashangaa mashabiki..lawama
zangu zote ni kwa mwalimu kwakumtoa alonso lawama zangu pia ziwaendee
iniesta ,xavi na silver awakua wakiwasaidia mabeki dead balls na cross
zote makaburu walikua wanapiga free headers hakuns mtu alie kua
anamprotect casilas asibugudhiwa..nadhani spain nao yale mambo ya
ufather na ujuaji walionao ivorycoast na cameroon wameanza kua nao
pia.pole sana kwa mashabiki wote wa spain huo ndo utamu wa soccer
tunapata suprises kila siku..