World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sasa naona mpira unachezwa, ila walikuwa wapi hawa watu
 
Nyuma kwa goli mbili hivi uliangalia hiyo mechi kweli maana mie najua ilikuwa 5-1

Ni kweli mkuu walikuwa nyuma kwa goli moja na si mawili ilikuwa ni typing error tu, ahsente kwa kunirekebisha.
 
Kocha wa Mexico ana kichaa huyu!!Dos Santos leo yupo ok saana unamtoa?
 
Sasa ndio mpira unachezwa ila kukumbuka kusoma ukiwa chumba cha mtihani ni mbaya sana
 
Mexico ndio timu iliyoruhusu magoli machache mpaka sasa. Wameruhusu goli 1 tu.
 
Mexico wanamtoa huyu dogo wanadhani ndio mechi imeisha au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…