World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

mi mwenyewe timu langu ni brazil ila nimeshtuka mpira uliochezwa na hawa majamaa wa leo
 
Mrembo by Nature kama utakumbuka fainali iliyopita walicheza hawa hawa na Spain alishinda kimagumashi tuu na Uholanzi wanapiga mpira kila michuano hii sema hawana bahati.
Lakini hii ya leo ni aibu.

Walistahili kushinda bwana...mnyonge mnyongeni ila haki mumtendee hehehe
 
Last edited by a moderator:
Cameroon utadhani wanyanyua vyuma wameletwa kwenye mpira.
 

Nakubaliana nawe but Javi Martinez angeweza kuziba pengo la Alonso ni mzuri sana kucheza mbele ya centre back
 
Mwaka 2010 pale kwa madiba ilifanyika fainali moja kali sana labda ni ya pili ukiitoa ile ya 1998, hii ni kutokana na fainali ile ilikutanisha mafundi wa mpira wa miguu wa enzi zote(total football of all time/Netherland) na mafundi wapya wa sasa sijui niwaitaje hawa jamaa ila ni Hispania.
Kwa mchezo ule wa fainali na matokeo yake kwa ujumla, wa-Dutch waliapa kwamba ipo siku watalipiza na hilo wamelithibitisha leo pale Brazil. Sasa waungwana hivi kweli huku ndiko kulipiza kweli au kutiana aibu mbele ya Dunia nzima maana kipigo cha leo sijui niite cha mbwa mwizi, sijui cha paka shume aliyezoea kula mayai ya kuku!,,,,,hebu tujuzane wadau huku ni kulipiza kisasi au kuaibishana tu.
 
mkuu umesema vema, imekuaje iniesta kupotea kabisa half ya pili?
iniesta na xavi ni wachezaji wa dk 50 mpira umebadika sana sikuhizi,afu hawa weusi kwenye hizi team za ulaya mbona wanapiga soccer la hatari lakini weus wa africa wanatuangusha.?kuna kaburu mmoja hivi anamacho makubwa hvi,yule alopigwa kichwa na costa, kapiga mpira mkubwa sana leo.
 
Cameroon utadhani wanyanyua vyuma wameletwa kwenye mpira.
Hahahaha Voil umeua daa ina maana walifikiri wanaenda kwenye mashindano ya Mieleka?
Daaaa Etooo ana kitambi.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana nawe but Javi Martinez angeweza kuziba pengo la Alonso ni mzuri sana kucheza mbele ya centre back
Tatizo la Spain walipofunga la kwanza wakaona ndo basi,wakafanyiwa suprise,wakaongezewa tena kipindi cha pili ilipoanza,ndo spirit yote ikakata
 
Leo yale maduka ya kuuza "utamu" Amsterdam vitu vitatolewa 50% off kushangilia ushindi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…