Mkuu kama umeangalia mechi vizuri,spain walizidiwa kiungo..walichokifanya uholanzi ni kumfanya robben kma second striker alikua anatoka katika mwa dimba anakimbili ndani kwenye boksi..ramos na pique waliconcentrate sana kumkaba vanpersie..midfildr ya spain imewaangusha akukua na covering ya haraka hakukua na mtu wa kuwasaidia akina ramos..casillas was a disgras ilikua kma ndo mechi yake ya kwanza alikua kma anashangaa mashabiki..lawama zangu zote ni kwa mwalimu kwakumtoa alonso lawama zangu pia ziwaendee iniesta ,xavi na silver awakua wakiwasaidia mabeki dead balls na cross zote makaburu walikua wanapiga free headers hakuns mtu alie kua anamprotect casilas asibugudhiwa..nadhani spain nao yale mambo ya ufather na ujuaji walionao ivorycoast na cameroon wameanza kua nao pia.pole sana kwa mashabiki wote wa spain huo ndo utamu wa soccer tunapata suprises kila siku..