World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ni kweli Mkuu Soka letu lina-Didimizwa na Viongozi..Siyo kweli kuwa hatuna vipaji..

si unaona naijeria zile dola milion 8 zimetafunwa 5 zikabaki 3 ndo wakapewa wachezaji tena kwa mbinde na leo ndo unaona wanaonyesha uwezo wao halisi.

Hizi tff zifutwe tu hazina maana, btw turudi kwenye soka, dk ni ya 16 kipindi cha pili ngoma bado bila bila
 
Hivi Nigeria ikivuka robo fainal ndo itakuwa team ya kwanza Africa kufikia hiyo hatua?

Cameroun mwaka 1990, Senegal 2002 na Ghana mwaka 2010

Nigeria kama itafanikiwa itakuwa timu ya 4 kufika robo fainali.
 
ni kijana makini sana, huwa napenda sana kumtazama akiwa anasakata kabumbu, hasa akiwa na kikosi chake cha PSG, Utampendaje??

Ni rafu mbaya sana kacheza B. Matuidi kwa huyu kinda aliyechupukia toka timu ya TB JOSHUA (The People fc) na sasa yuko huko ulaya anasakata kabumbu O. Onazi na huenda ikawa mwisho wake kucheza mashindano haya.
pengo kwa #teamnaija #
 
Yaani hawa watu bana wangefunga mapema ieleweke mambo ya
 
Jamani naijeria wanapiga kandanda safi nimewakubali ila sipati picha kama wangepewa pesa zao zote nadhani wangekua na mori ya kimorani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…