Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
haswa itakuwa ya kwanza
Overall Nigeria itakuwa team ya 3 kucheza robo fainali kama itavuka leo
Cameroon mwaka 1990
Senegal mwaka 2002
Ghana mwaka 2010
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haswa itakuwa ya kwanza
Nimetoa machozi kwa kweli,huyu kaka alivyoumizwa,inauma sana,Matuidi kwa nini umemchezea rafu mbaya namna hiyo nduguyo?
Ni kweli Mkuu Soka letu lina-Didimizwa na Viongozi..Siyo kweli kuwa hatuna vipaji..
Hivi Nigeria ikivuka robo fainal ndo itakuwa team ya kwanza Africa kufikia hiyo hatua?
Ghana si walifika 2010 au??
ni kijana makini sana, huwa napenda sana kumtazama akiwa anasakata kabumbu, hasa akiwa na kikosi chake cha PSG, Utampendaje??
Nilitegemea magoli hapa
we mwenzetu upo wapi?
what a chance
naija tumieni hizi nafasi
Umevunjika ule unaona kabisa unavyokunjika
jamani naijeria wanapiga kandanda safi nimewakubali ila sipati picha kama wangepewa pesa zao zote nadhani wangekua na mori ya kimorani