Algeria wameshachoka
Kipa wa jemani anatokea sana mipira algeria wanatakiwa wamsome wamuundie mtego mtamu!
dakika ya 65 bado hakijaeleweka
Dakika za maruhani kwa Africans!!Huwa tunafungwa dakika hizi
Leo hatoki mtu,hata wakienda kwenye matuta nitashuhudiaEh bado upo? Hongera sana
Algeria wameshachoka
Kama Germany hii niliyo iona mechi ya 4 sasa inafikiriwa hata kutwaa ubingwa wa dunia basi soka la dunia hii lina matatizo makubwa sana!Germany hamna kitu kabisa
Huyu refa mbna kadi hatoi kwa Germany?