World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

"how good and how pleasant would be.....to see the unification of all AFRICAN......AFRICA UNITE!"
 
Nakumbuka Algeria tulishawahi huwafunga 2-1 na kuwatoa kwenye michuano ya CAF ..
 
Khedira kifaa kijacho kwa Arsenal... Naona Mustafa anatoka...
 
mziki wa algeria mzito!!! wajerumani hamstring zinaanza kuchanika!!!!!!!!
 
Kama Germany hii niliyo iona mechi ya 4 sasa inafikiriwa hata kutwaa ubingwa wa dunia basi soka la dunia hii lina matatizo makubwa sana!Germany hamna kitu kabisa

Nilijiona niko peke yangu na mtazamo huo humu,nikaogopa kuzungumza.
 
Back
Top Bottom