World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kitu inaitwa endurance mkuu.

Ivory Coast, Nigeria, Algeria wote wametolewa dakika za mwisho kabisa tena sababu ya uzembe.
Ambae sitamlaumu ni Cameroon maana yeye alikuja kushiriki tu hakuwa na muda wa kufunga wala kushinda. Hawa wamefika hadi hapa wanatuumiza sana na sisi tunadharaulika sana kwani hili Bara hatujapeleka timu hata Robo finali
 
Mnaona waafrika wenzetu Algeria jinsi wanavyo sakata mpira? Sie Tanzania mpaka leo mwaka 2014 tunategemea uchawi ili tushinde matokeo yake tunabamizwa hata na Somalia kama vile wajinga.

aljeria (waarabu) ni waafrika wenzako?
 
Algeria kusema kweli Penalt wasahau ndio Algeria wanacheza mpira na kujitahidi ila nimeamini mpira pia akili Algeria wakikaribia nje ya Box hawajui kugawanyika, Mjerumani akifika karibu na nje ya Box wanagawanyika kuchanganya beki wa Algeria afikirie nani akae naye au akimbie nae ndio tofauti mpaka sasa Mjerumani anaweza kupata la Pili, Algeria mchezaji aliebakia na Nguvu Brahimi tu sasa hivi. mwisho kwa wale wanaooandaa lugha chafu Kama hamuwezi hapa jifunzeni Kuwa na heshima sio kuchochea chuki zenu za ma jukwaa yetu kuleta hapa.
 
Refa ungewapa hata penalt hapo hapo hata na sisi ujifanye umekosea
 
Hawa German waoga sana wanaanza jilaza uwanjani ili iweje
 
Hili nalo ni neno muhimu.... kwanini haiwi kwetu?

Nafikiri timu za Africa hazina mazoezi ya endurance ya kutosha.angalia mechi nyingi dk za mwisho zinashambuliwa bila wao kutengeneza mashambulizi mengi.pia wanakosa concentration dk hizo kwa sababu hawana endurance,wanachoka,coordination inakuwa kazi.mchezaji akiwa na pumzi na uvumilivu wa kutosha anakuwa comfortable na akili na viungo,zinafanya kazi vizuri
 
tpaul tumewakimbia jukwaa lenu la siasa kwa kuepuka lugha kama hizi zako!Lkn hadi huku unatufuata?Sisi tupo hapa weeks ya 3 inaenda sasa hatujawahi kuandikia lugha kama zako

mkuu, ngoja leo huo 'uchafu' ufagiliwe tubaki na timu zetu zinazojitambua.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…