BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hakuna laana yoyote, referees pia wanatuminya sana tu.
Afrika tumelaaniwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afrika tumelaaniwa!
twende kwenye daku
Kitu inaitwa endurance mkuu.
Mnaona waafrika wenzetu Algeria jinsi wanavyo sakata mpira? Sie Tanzania mpaka leo mwaka 2014 tunategemea uchawi ili tushinde matokeo yake tunabamizwa hata na Somalia kama vile wajinga.
Mkuu waambie wasubiri 2018 labda watabahatisha Kupangiwa vibonde!:Hapa ni mkong'oto tu! Tunaenda tena!!
Haya ngoja nijilie vyanguHiyo ftari sijala nkale daku? Kula pekeo
Hili nalo ni neno muhimu.... kwanini haiwi kwetu?
Tabasamu japo kwa dakika 2 tu 🙂🙂
tpaul tumewakimbia jukwaa lenu la siasa kwa kuepuka lugha kama hizi zako!Lkn hadi huku unatufuata?Sisi tupo hapa weeks ya 3 inaenda sasa hatujawahi kuandikia lugha kama zako
Hawa German waoga sana wanaanza jilaza uwanjani ili iweje