Leo yale maduka ya kuuza "utamu" Amsterdam vitu vitatolewa 50% off kushangilia ushindi huu.
Spain badala ya kuchezesha vijana wanaangaika na kina xavi na alonso..
:smile-big: Spain safari yao imekwisha pia naona kama umri nao unawatupa sasa
Uholanzi safi sana kuwachapa mabingwa watetezi mapema sana
Brazili watachukua 'la sixta'hawa brazil sijui watafika mbali kweli maaana jinsinmechi zinavyoendela kila timu inaonekana nzuri kuliko mwenyeji
Toa matokeo kwanza ndo uelezee kwamba hicho ni kichapo.Magoli ni mangapi kwa ngapi mkuu?
Duh... wewe ni mtabiri mzuri!Cameroon anapigwa moja.
Masikini Spain.....!! Sijui mechi ijayo watachomoka kwa hawa Chile.
Hii ndo 'kantangazeeeee'
Spain badala ya kuchezesha vijana wanaangaika na kina xavi na alonso..