Si semi sana ila Ozil kafunga sasa sikilizia watu wa Ozil watavyovamia jukwaa Algeria muda wote walikuwa wapi? Hongera Algeria kidogo katika timu za Africa nyie hamkufanya ujinga.
I'm Proud of Algeria kuliko timu yoyote ya Africa sababu Mie ni katika watu wa mwanzo jukwaa hili kusema sitowashabikia Algeria ila Algeria wamefurahisha WaaAfrica wenzao kuliko timu zote kidogo na Ghana wale Wenye maneno machafu pelekeni jukwaani kwenu hapa Upendo tu.