World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Si semi sana ila Ozil kafunga sasa sikilizia watu wa Ozil watavyovamia jukwaa Algeria muda wote walikuwa wapi? Hongera Algeria kidogo katika timu za Africa nyie hamkufanya ujinga.
 
goli la kuokoa beki wameachia mpaka likawa goli lapili
 
Afu refa kamaliza mapema sana
Shenzi zenu Algeria na Afrika
 
Roho inauma sana bora hata brazil wangefungwa isingeuma kuliko hawa jamaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I'm Proud of Algeria kuliko timu yoyote ya Africa sababu Mie ni katika watu wa mwanzo jukwaa hili kusema sitowashabikia Algeria ila Algeria wamefurahisha WaaAfrica wenzao kuliko timu zote kidogo na Ghana wale Wenye maneno machafu pelekeni jukwaani kwenu hapa Upendo tu.
 
France vs Germany...means lazima timu ya Ulaya insignia semi final. Pfeeeew!
 
Back
Top Bottom