Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa kule Qatar sijui itakuwaje coz nasikia huko joto ni balaa!
Burudani kali dk za mwisho teh teh nimekaa kwenye edge ya kochi wakati kochi kuubwa teh teh
Sasa kule Qatar sijui itakuwaje coz nasikia huko joto ni balaa!
Sasa kule Qatar sijui itakuwaje coz nasikia huko joto ni balaa!
Mi nimemaliza kula muwa sukari isijekushuka bure...!
Hili kombe la dunia la mwaka huu , ukiondoa baadhi ya timu za kipuuzi zilizotolewa round ya kwanza, lina msisimko sana