World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pressure ya Marekani kubwa, Belgium wanaonekana wamechoka sasa hivi sababu ya pressure.
 
Sasa kule Qatar sijui itakuwaje coz nasikia huko joto ni balaa!

Qatar haifanyiki WC maana watanyang'anywa uenyeji huo kwenye mkutano mkuu wa FIFA November hii!Qatar walitoa rushwa kwa wajumbe kushinda nomination
 
Wanasema ukianzisha ugomvi ujue kuumaliza.Belgium hooi,high tempo waliyocheza kwa dk 105 imewamaliza
 
Hili kombe la dunia la mwaka huu , ukiondoa baadhi ya timu za kipuuzi zilizotolewa round ya kwanza, lina msisimko sana
 
Klinsmann alikuwa analalamikia nini? Welcome back home, homies!!!!
 
Back
Top Bottom