World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nawe kwakupenda vibovu! hauna mshindani. Arafu inaelekea, wee zinakuvutia Rangi za jezi tu.

Naweye Kitoabu bhana, aah! Kwa taarifa yako, niliipenda Brazil kabla ya kuipenda Yanga, jezi siyo issue kabisa: mbona azam wanatumia jezi za rangi ya njano lakini nawachukia sana, ni kama vile nisivyopenda mavi lakini sina jinsi kwa sababu yako tumboni mwangu, vivyo hivyo sina jinsi kwa azam kwa vile ni timu iliyomo ndani ya Tanzania ambamo mimi ndiyo maskani yangu.
 
Januzaj asee!!
Hivi hamuifikirii kabisa BELGIUM iliyojaa vichwa kama Hazard,Lukaku,V.Kompany,Fellain n.k au macho ya wengi yako kwa mwenyeji tu? Mi nadhani hii nayo ni moja ya timu za kuangalia kwa jicho jingine
 
salaleee sante kiongoz

Habari ndo hiyo na nikutahadharishe kama una unazi na Brazil ujue umeumia maana huko mbele ya safari kuna uwezekano wa kukwaa visiki kama Argentina, Chile, Germany, Holland, Italy au Ghana ktk hatua ya mtoano kuelekea robo fainali au ktk hatua ya robo kuelekea nusu fainali.
 
Jana nilikuwa nafatilia kwa ukaribu mech ya Esp Vs Ned.nimegundua kuwa Ned.hawazoelek na watafika mbal sana.
 
Labda ujeruman lakini portugal haitishi sana kumbuka hata Ghana wako Vizuri ndo maana wamepangiwa hapo ili kuwapunguza makali ila yote kwa yote nawaombea watutoe kimaso maso

Kweli mkuu, tuombe Mungu tu.
 
Hebu nipe ratiba ya leo mkuu ili nianze kujiandaa
Colombia na Greece ndo wanaanza saa moja jioni,saa nne usiku tembo wa africa (ivory coast) watakuwa na kibarua kizito dhidi ya japan
 
Colombia na Greece ndo wanaanza saa moja jioni,saa nne usiku tembo wa africa (ivory coast) watakuwa na kibarua kizito dhidi ya japan

Aaa kumbe leo sina mechi ya kuangalia mpaka kesho labda.
 
Cassilas si kipa kabisa.

ameamini sasa kwanini jose mourinho alikuwa hampangi na watu wakasema anachuki binafsi lakini jana wadau wengi nimeteta nao wanasema jose alikuwa sahihi kabisa casilas ni galasa kwa sasa.
 
Colombia na Greece ndo wanaanza saa moja jioni,saa nne usiku tembo wa africa (ivory coast) watakuwa na kibarua kizito dhidi ya japan
Mkuu Daudi1 hapo tembo wanA kutana na Honda daaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…