Aza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2010
- 1,700
- 230
Chile 3 - 1 Australia
salaleee sante kiongoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chile 3 - 1 Australia
haaa haaa swali hili limenichekesha sanaNi kweli lakini je watakutana wapi..!!??
kuna hatar ya siku yako kuharibika leo.Leo timu zangu zote uwanjani
.Ivory Coast(Sababu ni Afrika bara langu)
England(Sababu Man U inatokea huko)
All the best to my teams.
Nawe kwakupenda vibovu! hauna mshindani. Arafu inaelekea, wee zinakuvutia Rangi za jezi tu.
Hivi hamuifikirii kabisa BELGIUM iliyojaa vichwa kama Hazard,Lukaku,V.Kompany,Fellain n.k au macho ya wengi yako kwa mwenyeji tu? Mi nadhani hii nayo ni moja ya timu za kuangalia kwa jicho jingine
salaleee sante kiongoz
Labda ujeruman lakini portugal haitishi sana kumbuka hata Ghana wako Vizuri ndo maana wamepangiwa hapo ili kuwapunguza makali ila yote kwa yote nawaombea watutoe kimaso maso
Kweli mkuu, tuombe Mungu tu.
kuna hatar ya siku yako kuharibika leo.
Dua zangu kwa Ghana.
Amina. Solidarity Forever.
Colombia na Greece ndo wanaanza saa moja jioni,saa nne usiku tembo wa africa (ivory coast) watakuwa na kibarua kizito dhidi ya japanHebu nipe ratiba ya leo mkuu ili nianze kujiandaa
Colombia na Greece ndo wanaanza saa moja jioni,saa nne usiku tembo wa africa (ivory coast) watakuwa na kibarua kizito dhidi ya japan
Saa moja jioni
Cassilas si kipa kabisa.
dah!.nmefurah goli la ruben.
babu...babu ...babu...!