World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hakuna haja ya kubebwa, Brazil inao uwezo wa kufika fainali bila kubebwa. Go go Brazil, kombe ni letu hawa wengine ni wasindikzaji tu, 'si unajua ndugu yangu katika msafara wa mamba na kenge wapo' (Mashishanga, 2005).

Sawa ndugu, kujifariji ni haki yako ila ukweli unabaki palepale kua brazil ya mwaka huu haina uwezo kama ile ya mwaka 1998 au 2002 achilia mbali 2006 na 2010 ilipoanza kuyumba hatimaye kupotea kabisa.

Kubali kataa brazil itabebwa hadi kufika fainali kwa sababu ya uenyeji plus chokochoko za kisiasa nchini humo lakini haitatwaa taji.
 
Leonel mess ni wa kuweka sub??-namba 5 unampa tiago silva??? kampany je??
 
...

subs
vicent enyama(nigeria)
thomas varmelen(germany)
jonathan mensah(ghana)
marcelo(brazil)
lionel messi(argentina)
alexis sanchez(chile)
mesuti ozil(germany)
robin van persie(holland)
poulhinho(brazil)

Vikosa vidogo kama hivi vina haribu radha ya uzi
 
Mkuu upo sahihi kabisa hawa jamaa ni wazalendo.. Ukiishi Africa ni tatizo.. Mwafrica ametaliwa na ubinafsi, ujinga na tamaa..!!


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Naomba utuwekee uthibitisho wako wa kuwa brasil inabebwa..muda,tarehe,tukio na mechi dhidi ya nani..!
 
Kati ya timu iliyoniuma kutoka ni USA kwani waliwekeza sana kwenye Mpira na hata kwenye hii wedi kapu wao walikuwa watu wa pili kwa kununua tiketi na hii yote kwa sababu waliamini timu yao.
Najua 2018 watafika mbali sana

Hawa ndio wanaotaka mabadiliko ya ukweli..sio sisi wa tunataka short cut wakti alwayz ni wrong cut. Tutasubiri sana maajabu.
 
Hapana mkuu, siko tayari kuiunga mkono marekani wala ubelgiji wala brazuu wala udachi. Mimi nimebaki na Colombia na Argentina tu, tukutane robo fainali panapo majaliwa.
Skype mwambie huyu jamaa aliyetuletea hii list yake ya kishetani pls maana mm kwa hasira hata kumuambia nimepata hasira!

Team yako labda kocha awe Julio wa Simba!Yaani keeper Tim Howard anakaa benchi?Ochoa reserve wa Howard nae hayumo?

Vermalein kacheza dakika 14 tu mashindano haya anakaa sub?Kuna kocha mwenye akili timamu atamuweka nje Messi na RVP?

Team yako ni ya mashetani labda!!
 
Last edited by a moderator:
Ben Arfa (Tunisia) - France
Paul Pogba (Guinea) - France
Karim Benzema (Algeria) - France
Samir Nasri (Algeria) - France
Govou (Benin) - France
Zinedine Zidane (Algeria) - France
Luis Nani (Cape Verde) - Portugal
Christian Benteke (DRC) -Belgium
Jerome Boateng (Ghana) -
Germany David Alaba (Nigeria) - Austria
Oguchi Onyewu (Nigeria) - USA
Angelo Ogbonna (Nigeria) - Italy
Dennis Aogo (Nigeria) - Germany
Okaka Chuka (Nigeria) - Italy
Gabriel Agbonlahor (Nigeria) - Scotland
Patrick Owemoyela (Nigeria) - Germany
Nedum Onuoah (Nigeria) - England
Patrick Vieira (Senegal) - France
Mousa Dembele (Mali) - Belgium
Romelo Lukaku (DRC) - Belgium
Sami Khedira (Tunisia) - Germany
Vincent Kompany (Congo) - Belgium
Danny Welbeck (Ghana) - England
Mario Balotelli (Ghana) - Italy
Mamadou Sakho (Guinea) -
France Bacary Sagna (Senegal) - France
Patrice Evra (Guinea) - France
El Shaarawy(Egypt) - Italy
Dirick Origi (Kenya) - Belgium
Ramires Makukula (Swaziland) -Brazil... Ongeza wa kwako niliemsahau
 

Mkuu!
Yupo wapi mtaalam Nacer Chadli(Morocco)-Belgium???
 

Ina maana dunia nzima inabebwa na Africa.!!
 
Hawa FIFA nashindwa hata maneno ya kuwaelezea, maana hivi ni zaidi ya vituko;

Official: David Luiz is the best player at the World Cup, and Messi’s not in the top 10

Who do you think has been the best player at the World Cup so far? James Rodriguez? Leo Messi? Neymar?

According to FIFA's official 'Castrol Index' ranking of the players in Brazil, the top man is one David Luiz, with a 9.79 rating, whatever that might mean.

Rodriguez is in second place, Karim Benzema is third while Neymar is down in sixth, below Belgium's Jan Vertonghen who is ranked fifth.

Messi is not even in the top 10, but Swiss defender Johan Djourou is. That's the same Lionel Messi who has won the man of the match award in all four of the games he has played.

The FIFA website said: "Neymar may be the poster boy of this Brazilian World Cup but the reasons for the hosts’ presence in Friday’s quarter-final against Colombia can be found further back in Luiz Felipe Scolari’s line-up – and the latest Castrol Index ranking reflects this.

"It was Tostao, the 1970 World Cup winner-turned-journalist, who wrote in his daily column after the tense penalty shoot-out triumph over Chile that 'the stand-outs for Brazil were Thiago Silva, David Luiz and Julio Cesar' and Scolari’s two centre-halves both feature in the top ten along with Neymar.

"Indeed, Luiz sits in first place after a match where he scored Brazil’s goal – getting a touch to Thiago Silva’s flick-on – converted a penalty, and produced a notable block on a Charles Aranguiz close-range shot in the first half of the match, which helped to boost his score (9.79)."

According to FIFA, the Castrol Index "uses the latest technology to objectively analyse player performance", and that it tells us "which players truly deserve to grab all the headlines."

The full top 10 after the last 16 is:
1) David Luiz, Brazil (9.79).
2) James Rodriguez, Colombia (9.74)
3) Karim Benzema, France (9.7)
4) Arjen Robben, Netherlands (9.66)
5) Jan Vertonghen, Belgium (9.62)
6) Neymar, Brazil (9.59)
7) Thiago Silva (9.56)
8) Ivan Perisic, Croatia (9.53)
9) Johan Djourou, Switzerland (9.5)
10) Thomas Mueller, Germany (9.48)
 

Patrice Evra alizaliwa Senegal, nadhani atakuwa na uhusiano mkubwa na Senegal kuliko Guinea na Cape Verde au sio?... Sijawahi kusikia uhusiano wowote ule wa Ramires na Africa other than color of skin, naomba unieleweshe mkuu. Kama Africa ingekuwa inaweza kutoa timu moja na hao wote wakaruhusiwa kuchezea #TeamAfrica (hata katika exhibition only) pangekuwa na raha fulani, japo sijui kama wangefanya vizuri, maana Waafrika kila mtu anajifanyaga anajua kuliko mwenzake hatuwezi kukubaliana.
 

Hahaha, haiwezekani,

Ngozi nyeusi fujo tupu
 
Haha ngoja nikutie moyo mdau hata mimi #team brazil#ila hapo kwenye BAN hayo yako sasa

Hata mimi teambrazuca kwa kwenda mbele, brazil mpaka sasa imekomaa maana imekutana na team zilizokomaa na zenye uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia teammexico nafikiri mmeiona ilivyoisumbua holand na pia teamchile nafikiri mmeiona. Kwa sasa amebakia teamcolombia aking'oka huyo ujue hapo hakuna wa kumzuia brazuca. :hail:Teambrazil:hail:
 
Umegundua kitu?
Timu ziligawanywa katika makundi manane(8), Washindi wa kila group ambao walikuwa 8 walicheza na washindi wa pili ambao 8 ili kupata timu 8 zitakazoshiriki katika robo fainali. Timu zilizofanikiwa kuingia robo fainali ni timu zilizoshinda toka katika kila group i.e Brazil mshindi wa Group A(7pts), Holland mshindi wa Group B(9pts), Colombia mshindi wa Group C(7pts), Costa Rica mshindi wa Group D(7pts), France mshindi wa Group E(7pts), Argentina mshindi wa Group F(9pts), Germany mshindi wa Group G(7pts), na Belgium mshindi wa Group H(9pts). Since mshindi wa kila group alikuwa na points nyingi kuliko timu nyingine, hivyo basi timu itakayoshinda na kuingia nusu fainali itakuwa timu iliyomaliza kwa points nyingi kulinganisha na opponent wake wa robo fainali na waliofungana kipointi wataondoana kwa matuta au alphabetical. Fuatilia utabiri wangu niliopewa na babu wa kikombe kimoja toka Melerani LoL

Robo fainali
France(7points) vs Germany (7points)-WINNER---> Matuta/France
Brazil(7pts) vs Colombia (9pts)-WINNER---> Mshindi Colombia
Argentina(9points) vs Belgium (9pts)- WINNER--->Matuta/Belgium
Netherlands (9pts) vs Costa Rica (7pts)-WINNER---> Netherlands
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…